Ufafanuzi wa machinjio katika Kiswahili

machinjio

nominoPlural machinjio

  • 1

    upande wa kisu wenye makali.

  • 2

    mahali ambapo wanyama wanachinjwa.

Matamshi

machinjio

/mat∫inʄijɔ/