Ufafanuzi wa machorombozi katika Kiswahili

machorombozi

nominoPlural machorombozi

  • 1

    zawadi inayotolewa kwa mtu aliyeokota kitu kilichopotea na kumrejeshea mwenyewe.

    kiangazamacho, kiokosi

Matamshi

machorombozi

/mat∫ɔrɔmbɔzi/