Ufafanuzi wa machugachuga katika Kiswahili

machugachuga

nominoPlural machugachuga

  • 1

    hali ya kutotulia mahali pamoja.

    wahaka, wasiwasi, kiherehere

Matamshi

machugachuga

/mat∫ugat∫uga/