Ufafanuzi wa machungani katika Kiswahili

machungani

nomino

  • 1

    mahali wanyama wanapopelekwa kula.

    malishoni

Matamshi

machungani

/mat∫ungani/