Ufafanuzi wa madaha katika Kiswahili

madaha

nominoPlural madaha

  • 1

    matendo na mwendo wa kupendeza.

    mbwembwe, matuko, maringo, fahari, usodai

  • 2

    matendo mazuri ya kuonyesha adabu.

Asili

Khi

Matamshi

madaha

/madaha/