Ufafanuzi wa madahiro katika Kiswahili

madahiro

nominoPlural madahiro

  • 1

    tabia ya kuringa au kujishaua.

    ‘Yeye ni mtu wa madahiro’

Matamshi

madahiro

/madahirɔ/