Ufafanuzi wa madhehebu katika Kiswahili

madhehebu

nominoPlural madhehebu

 • 1

  mwenendo fulani wa kufanya au kuendesha mambo.

 • 2

  fikira na mwongozo wa kidini unaotokana na uelewaji wake wa misingi ya dini hiyo na unaoleta tofauti ndogondogo za mawazo lakini zisizovunja misingi ya dini hiyo.

 • 3

  kikundi cha dini fulani chenye mwelekeo tofauti na kikundi kingine cha dini hiyohiyo moja.

  dhehebu

 • 4

  wafuasi wa mawazo ya kiongozi wa dini.

Asili

Kar

Matamshi

madhehebu

/maðɛhɛbu/