Ufafanuzi wa madrasa katika Kiswahili

madrasa

nomino

  • 1

    mahali ambapo hutolewa mafunzo ya dini ya Kiislamu hasa kwa watoto.

    chuo

Asili

Kar

Matamshi

madrasa

/madrasa/