Ufafanuzi wa maelewano katika Kiswahili

maelewano

nomino

  • 1

    hali ya kusikilizana na kuelewana baina ya watu.

Matamshi

maelewano

/maɛlɛwanɔ/