Ufafanuzi wa maendeleo katika Kiswahili

maendeleo

nominoPlural maendeleo

  • 1

    hali ya kufanikiwa k.v. kijamii, kiuchumi au kisiasa.

    hatua

Matamshi

maendeleo

/maɛndɛlɛɔ/