Ufafanuzi wa mafao katika Kiswahili

mafao

nomino

  • 1

    malipo anayopata mfanyakazi kama kifuta jasho baada ya kustaafu au kuacha kazi.

    pensheni, kiinuamgongo

Matamshi

mafao

/mafaÉ”/