Ufafanuzi wa mafasa katika Kiswahili

mafasa

nominoPlural mafasa

  • 1

    nyoka mkubwa na mnene arushaye mate ya sumu.

Matamshi

mafasa

/mafasa/