Ufafanuzi wa mafindofindo katika Kiswahili

mafindofindo

nominoPlural mafindofindo

  • 1

    aina ya ugonjwa wa kuvimba shingoni chini ya mashavu.

    matubwitubwi

Matamshi

mafindofindo

/mafindɔfindɔ/