Ufafanuzi wa mafua katika Kiswahili

mafua

nominoPlural mafua

  • 1

    ugonjwa wa kuambukiza unaosababisha mtu kuumwa na koo na kichwa, kutokwa kamasi na kuwa na homa.

    bombo

Matamshi

mafua

/mafuwa/