Ufafanuzi wa mafungianyama katika Kiswahili

mafungianyama

nominoPlural mafungianyama

  • 1

    muda, agh. jioni, ambapo wanyama wanaingia zizini baada ya kutoka malishoni.

Matamshi

mafungianyama

/mafungijaɲama/