Ufafanuzi wa mafunguliang’ombe katika Kiswahili

mafunguliang’ombe

nomino

  • 1

    asubuhi mapema mifugo wanapotolewa ndani ya zizi na kwenda kusaka majani ambayo ni chakula chao.

Matamshi

mafunguliang’ombe

/mafungulijaŋɔmbɛ/