Ufafanuzi wa mafunzo katika Kiswahili

mafunzo

nomino

  • 1

    mambo anayofundishwa mtu kwa muda fulani.

    masomo

Matamshi

mafunzo

/mafunzÉ”/