Ufafanuzi wa mafurungu katika Kiswahili

mafurungu

nominoPlural mafurungu

  • 1

    maguoguo yafungwayo miguuni hasa wakati wa baridi ili kutia mwili joto.

  • 2

    njuga au maleba yafungwayo miguuni wakati wa kucheza ngoma ya kienyeji.

Matamshi

mafurungu

/mafurungu/