Ufafanuzi wa mafusho katika Kiswahili

mafusho

nominoPlural mafusho

  • 1

    kitu kitiwacho kwenye moto na kutoa moshi kwa ajili ya dawa k.v. mavi ya tembo, maua ya mawaridi, mvuje, uvumba au ubani.

    kifukizo, fukizo

Matamshi

mafusho

/mafu∫ɔ/