Ufafanuzi wa magadi katika Kiswahili

magadi

nominoPlural magadi

  • 1

    chumvi chungu inayotumika kutengeneza sabuni au kulainisha chakula wakati wa kupika.

  • 2

    chumvi itokanayo na k.v. majivu ya magunzi ya mahindi, mapapai au karanga.

Matamshi

magadi

/magadi/