Ufafanuzi msingi wa magendo katika Kiswahili

: magendo1magendo2

magendo1

nominoPlural magendo

  • 1

    ununuzi na uuzaji wa bidhaa kwa njia isiyo halali.

Matamshi

magendo

/magɛndɔ/

Ufafanuzi msingi wa magendo katika Kiswahili

: magendo1magendo2

magendo2

nominoPlural magendo

  • 1

    ufanyaji wa ngono na mwanamume au mwanamke ambaye mtu hakufunga ndoa naye.

    uhawara

Matamshi

magendo

/magɛndɔ/