Ufafanuzi msingi wa magharibi katika Kiswahili

: magharibi1magharibi2Magharibi3

magharibi1

nominoPlural magharibi

 • 1

  upande unaochwea jua.

Asili

Kar

Matamshi

magharibi

/maɚaribi/

Ufafanuzi msingi wa magharibi katika Kiswahili

: magharibi1magharibi2Magharibi3

magharibi2

nominoPlural magharibi

 • 1

  wakati wa jua kuchwa.

  machweo

Asili

Kar

Matamshi

magharibi

/maɚaribi/

Ufafanuzi msingi wa magharibi katika Kiswahili

: magharibi1magharibi2Magharibi3

Magharibi3

nominoPlural Magharibi

Kidini
 • 1

  Kidini
  wakati mmojawapo maalumu ambapo Waislamu husali baina ya jua kuchwa na kabla ya sala ya Isha kuanza.

Asili

Kar

Matamshi

Magharibi

/maɚaribi/