Ufafanuzi wa maghusubu katika Kiswahili

maghusubu

nominoPlural maghusubu

  • 1

    vitu au mali inayonyang’anywa au kuchukuliwa kwa nguvu; mali ya dhuluma.

Matamshi

maghusubu

/maɚusubu/