Ufafanuzi wa mahabubu katika Kiswahili

mahabubu

nominoPlural mahabubu

  • 1

    mtu aliyekuingia moyoni na kumthamini kuliko wengine.

    mpenzi

Asili

Kar

Matamshi

mahabubu

/mahabubu/