Ufafanuzi msingi wa mahabusu katika Kiswahili

: mahabusu1mahabusu2

mahabusu1

nominoPlural mahabusu

  • 1

    mahali ambapo watuhumiwa wa kesi hufungiwa.

Asili

Kar

Matamshi

mahabusu

/mahabusu/

Ufafanuzi msingi wa mahabusu katika Kiswahili

: mahabusu1mahabusu2

mahabusu2

nominoPlural mahabusu

  • 1

    mfungwa anayengojea kesi yake isikilizwe.

Asili

Kar

Matamshi

mahabusu

/mahabusu/