Ufafanuzi wa mahari katika Kiswahili

mahari

nominoPlural mahari

  • 1

    mali au fedha inayotolewa na mwanamume kupewa mwanamke au wazazi wa mwanamke anayetaka kumuoa.

Matamshi

mahari

/mahari/