Ufafanuzi wa maharimu katika Kiswahili

maharimu

nominoPlural maharimu

  • 1

    mtu usiyeweza kumuoa au kuolewa naye kwa sababu ya uhusiano wa nasaba k.v. mtoto kwa mzazi wake au ndugu wa tumbo moja.

Matamshi

maharimu

/maharimu/