Ufafanuzi wa mahindi katika Kiswahili

mahindi

nominoPlural mahindi

  • 1

    nafaka kutokana na mihindi ambayo huliwa au kusagwa na kuwa unga.

Matamshi

mahindi

/mahindi/