Ufafanuzi wa mahitaji katika Kiswahili

mahitaji

nomino

  • 1

    vitu muhimu kuwa navyo ili kutimiza haja fulani.

    matakwa, haja

Asili

Kar

Matamshi

mahitaji

/mahitaŹ„i/