Ufafanuzi wa mahojiano katika Kiswahili

mahojiano

nominoPlural mahojiano

  • 1

    hali ya kuuliza maswali ili kutaka kujua maarifa au uwezo wa mtu juu ya jambo fulani.

  • 2

    maswali ambayo mtu huulizwa na mtu au kikundi cha watu pamoja na majibu anayotoa.

Matamshi

mahojiano

/mahɔʄijanɔ/