Ufafanuzi wa mahututi katika Kiswahili

mahututi

kivumishi

  • 1

    -a kukaribia kufa; -enye kuzidiwa sana na ugonjwa.

    ‘Mgonjwa mahututi’

Asili

Kar

Matamshi

mahututi

/mahututi/