Ufafanuzi wa maikrofoni katika Kiswahili

maikrofoni

nomino

  • 1

    kifaa cha kushikia mawimbi ya sauti na kuyapeleka kwenye kipazasauti au kirekodia sauti.

    kinasasauti

Asili

Kng

Matamshi

maikrofoni

/majikrɔfɔni/