Ufafanuzi wa maikrowevu katika Kiswahili

maikrowevu

nominoPlural maikrowevu

  • 1

    aina ya oveni ya umeme inayotumiwa kupikia aina fulani ya vyakula au kupasha moto vyakula kwa haraka.

    kipashamoto, kikanzamoto

Matamshi

maikrowevu

/majikrɔwɛvu/