Ufafanuzi wa maisha katika Kiswahili

maisha

nominoPlural maisha

 • 1

  muda wa uhai wa kiumbe au wa kutumika kwa kitu.

  aushi

 • 2

  namna ya kuishi.

 • 3

  daima, dunia

Asili

Kar

Matamshi

maisha

/maji∫a/