Ufafanuzi msingi wa maiti katika Kiswahili

: maiti1maiti2

maiti1

nominoPlural maiti

 • 1

  mwili wa mtu aliyekufa.

  ‘Maiti yake ilisafirishwa nyumbani kwa mazishi’
  mzoga, kimba

Ufafanuzi msingi wa maiti katika Kiswahili

: maiti1maiti2

maiti2

nominoPlural maiti

 • 1

  mtu aliyekufa.

  methali ‘Maiti haulizwi sanda’
  methali ‘Maiti hapatilizwi sanda’
  mfu, kaputi, jifu

Asili

Kar

Matamshi

maiti

/majiti/