Ufafanuzi wa majaaliwa katika Kiswahili

majaaliwa, majaliwa

nomino

  • 1

    mambo yatokanayo na rehema za Mwenyezi Mungu; mapenzi ya Mwenyezi Mungu.

    jaala, kadari, kudura, takdiri