Ufafanuzi wa majadiliano katika Kiswahili

majadiliano

nominoPlural majadiliano

  • 1

    mazungumzo ya watu wawili au zaidi wanaobadilishana mawazo kuhusu mada fulani.

    chimbuko

Asili

Kar

Matamshi

majadiliano

/maʄadilijanɔ/