Ufafanuzi msingi wa majikwezo katika Kiswahili

: majikwezo1majikwezo2

majikwezo1

nominoPlural majikwezo

  • 1

    kujisikia kuwa bora kuliko watu wengine.

Matamshi

majikwezo

/maʄikwɛzɔ/

Ufafanuzi msingi wa majikwezo katika Kiswahili

: majikwezo1majikwezo2

majikwezo2

nominoPlural majikwezo

  • 1

    mtu mwenye maringo; mtu mwenye tabia ya kujikweza au kujishaua.

Matamshi

majikwezo

/maʄikwɛzɔ/