Ufafanuzi wa majisifu katika Kiswahili

majisifu

nominoPlural majisifu

  • 1

    maelezo anayotoa mtu ili kujitukuza mwenyewe.

Matamshi

majisifu

/maʄisifu/