Ufafanuzi wa majivuno katika Kiswahili

majivuno

nominoPlural majivuno

  • 1

    hali ya kujiona.

    maringo, kiburi, gogi, goto, ndweo, tepo, kedi, mbwembwe, ghururi, taraghani

Matamshi

majivuno

/majivunɔ/