Ufafanuzi wa majogoo katika Kiswahili

majogoo

nominoPlural majogoo

  • 1

    alfajiri sana jogooo anapotoa sauti ya kuwika.

    ‘Aliondoka kwenda safari majogoo’

Matamshi

majogoo

/maʄɔgɔ:/