Ufafanuzi wa majojo katika Kiswahili

majojo

nominoPlural majojo

  • 1

    matata juu ya matata; mpandano wa mambo; msongamano wa matatizo; fujo juu ya fujo.

Matamshi

majojo

/maʄɔʄɔ/