Ufafanuzi wa majungu katika Kiswahili

majungu

nominoPlural majungu

  • 1

    maneno ya uzushi yasiyo na ukweli.

  • 2

    tabia ya kutoa habari za uongo dhidi ya mtu mwingine kwa lengo la kumharibia sifa zake nzuri.

    ‘Dawa kubwa ni kuondoa majungu na fitina kazini’

Matamshi

majungu

/maʄungu/