Ufafanuzi wa majusi katika Kiswahili

majusi

nomino

  • 1

    watu wanaoabudu k.v. moto au wanyama.

  • 2

    mtu mwenye elimu ya nyota.

Asili

Kar

Matamshi

majusi

/maŹ„usi/