Ufafanuzi wa makadirio katika Kiswahili

makadirio

nominoPlural makadirio

  • 1

    kiasi cha fedha au vifaa kinachokadiriwa kutosheleza haja za shughuli fulani.

Asili

Kar

Matamshi

makadirio

/makadirijɔ/