Ufafanuzi wa makani katika Kiswahili

makani

nomino

  • 1

    mahali pa kuishi.

    nyumba, jengo

Asili

Kar

Matamshi

makani

/makani/