Ufafanuzi wa makavazi katika Kiswahili

makavazi

nominoPlural makavazi

  • 1

    nyumba au chumba ambapo nyaraka za kielimu na kihistoria zilizokusanywa, huhifadhiwa, huchunguzwa na kuonyeshwa.

Matamshi

makavazi

/makavazi/