Ufafanuzi msingi wa makeke katika Kiswahili

: makeke1makeke2

makeke1

nomino

  • 1

    machachari ya kufanyia jambo; vishindo.

Matamshi

makeke

/makɛkɛ/

Ufafanuzi msingi wa makeke katika Kiswahili

: makeke1makeke2

makeke2

nomino

  • 1

    mtu mwenye machachari na vishindo.

Matamshi

makeke

/makɛkɛ/