Ufafanuzi wa maki katika Kiswahili

maki

nomino

  • 1

    unene wa kitu.

    ‘Ubao huu maki yake ni sentimita mbili’
    kivimbe

Asili

Kar

Matamshi

maki

/maki/