Ufafanuzi wa makiri katika Kiswahili

makiri

nominoPlural makiri

  • 1

    kipande cha chuma au ubao kilicho ubavuni mwa chombo na kinachotumiwa kufungia kamba.

Asili

Kar

Matamshi

makiri

/makiri/